Welcome to My New Blogging Blog
-
Featured
Ukitoa Msaada Huu Hakika Utakumbukwa Daima
Habari rafiki, Kila mtu, bila kujali ana nini, hujikuta wakati fulani anahitaji msaada kutoka kwa rafiki, jirani au ndugu zake. Msaada unaweza kuelezewa kama kitu anachotoa mtu au taasisi ili kutimiza haja fulani au kutatua tatizo la mtu au taasisi yenye uhitaji. Sasa, tukiongelea suala la uhitaji, je ni wakati gani tunaweza kusema taasisi au… Read more
-
Featured
Je, Mzazi Una Nafasi Gani Katika Kukuza Kipaji cha Mwanao?
Habari rafiki, Karibu tena katika makala hii tujifunze stadi za maisha. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) stadi za maisha ni elimu yenye lengo la kujenga tabia njema ya mtu na kumpa uwezo wa kubaini fursa na matatizo yake – na kujua mbinu za kushughulika nayo. Lengo la stadi za maisha ni kukuza… Read more
-
Takwimu hizi kuhusu kustaafu zitakufumbua macho!
Habari, Wafanyakazi wengi hutumia pengine zaidi ya nusu ya maisha yao, wakiwa katika ajira. Kutokana na hili, wengi hujikuta katika mshikamano mkubwa sana na kazi zao, kiasi cha wengine kusahau hata mambo yao binafsi, au kwamba iko siku watastaafu. Na kwa kuwa huutumia muda mwingi sana katika majukumu ya ajira zao, wakati wa kustaafu ukiwadia… Read more
-
Ukijiandaa kustaafu tumia historia hii kujifunza ujasiriamali
Habari rafiki, Hivi karibuni, serikali imepandisha kiwango cha kukokotoa mafao ya wastaafu hadi asilimia 33 kutoka asilimia 25. Wapo waliofurahia hatua hii, ingawa wapo pia wanaodai kiwango hiki bado hakiwawezeshi kupata kiinua mgongo kinachokidhi gharama za kuanzia maisha ya kustaafu. Wasiofurahia wanataka kiwango cha asilimia 50, kama zamani, au hata zaidi ya hapo. Mstaafu mmoja… Read more
Follow My Blog
Get new content delivered directly to your inbox.